Udom prospectus 2013/2014

Udom prospectus 2013/2014

Bible,
Kwanza nikupongeze kuchaguliwa ktk Chuo Cha UDOM ila kwa sababu ww bado mchanga ktk mambo haya basi sikiliza ujumbe then go and do research kabla hujafikiria kujibu...Prospectus ni mfano tu wa mambo ambayo hayatekelezwi kwa wakati, Nimefanya hivi ili ukaikute UDOM bora tena iliyojirekebisha katika nyanja tuzizungumzazo. Ulisikia wapi mtu akakosoa nyumbani kwao bila kuona uwezekanao wa kuparekebisha....Tambua kuwa naipenda sana UDOM ya jana leo na kesho.
Mada yangu ilikuwa inaomba msaada wa Prospectus ya 2013/2014, kama umeiona tafadhali naomba link yake ili niifuate coz hapa www.udom.ac.tz sijaiona kwa kweli...please friend nitupie hapa kati......OVER
Mbona kila kitu kipo net tatizo umejaa lawama kwel Udom hutmaliz kijna,prospectus zipo funguo web ya chuo mbona mim nimeona kila kitu,uzuri wa chuo ni wew cio jina la chuo,punguzen lawama kila cku lawama na Div 1 naenda kusom tu hata mponde
 
Pandian,
Mimi ni graduate friend wala si hao vijana wanao kwenda kuanza first degree. Elimu tunazopata zinatutofautisha sana katika suala la thinking....always your thinking capacity will differ from mine ndio maana una imani kuwa wanao fanya analysis/research ni big people with PhD's, poor mind think big please. Nataka nikuibie kidogo kuwa mimi ni specialist mzuri katika baadhi ya courses tena za science na Institution yangu wananiamini sana na kuni-assign kudevelop programme curricula ambazo ww pia unaweza ukawa mmoja wapo wa wasomaji wake(kama unasoma science) Hivyo basi mm ni Curricula Developer & Implementer and on the other hand.
Tafadhali don't even try to argue with me on that matter coz nitakuumbua na hutoweza kunikamata popote.
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Kila Chuo Kikuu lazima kiwe na Current prospectus tena ikiwezekana kila mwaka inatakiwa mpya coz mabadiliko katika course outline za vyuo hubadilika kila leo...so ukiona prospectus za vyuo fulani ni zile zile kila mwaka jua kuwa contents za kufundishia hazijabadilika......Ukitaka msaaada zaidi niulize.............OVER
..................................Ninapenda niwaombe kwa heshima na taadhima kuwa kama mtakuwa mmeona au kusikia prospectus ya #UDOM ya mwaka wa masomo wa 2013/2014 tafadhali nirushieni kwenye hii thread au kwenye private email🙁james.tanzania@yahoo.co.uk) kwani kuna mambo mengi sana nataka niyachambue kulingana na courses/programmes zilizotangazwa kupitia TCU.

How could on earth, a thin mind like that of yours do an analysis out of the programmes listed in any university prospectus? Unajua ni lini kwa mara ya kwanza prospectus ya chuo kikongwe kama UDSM iliwekwa online ktk page ya chuo na kabla ya hapo tuliokwenda chuo hicho hatukusoma? Pamoja na ukilaza wako unatia aibu kwa unachoandika maana if you are smart enough utatafuta na kujua programme details kabla hujaomba chuo chochote na kuchaguliwa na TCU, sio ujue details baada ya kuchaguliwa.
 
vice UDOM,
Juzi Chuo Kikuu Cha UDOM wametoa updates kuwa endeleeni kuwa watulivu watatoa karibuni ila tarehe ya kufungua Chuo ni 12 October, kwa hiyo endelea kujiandaa kwa kupitia taratibu zao zinazopatikana kupitia website yao ikiwa ni pamoja na gharama za programme uliyochaguliwa kujiunga nayo................Hongera kwa kupewa fursa ya Kusoma UDOM
jaman msaada wana udom vp kuhusu join instruction zimeshatoka au bado,naomben msaada wenu
 
mpigamsuli,
Siwezi kukataa ukweli hata siku moja kama uraiani ndio inatafsirika kuwa ni product mbovu huna budi kuwaonyesha kuwa ww personally upo vizuri kwa kuonyesha competence & confidence.
Pamoja na maelezo Tangulizi hapo juu napenda nikujuze kuwa mimi ni first product katika ngazi ya Master Degree na si Bachelor degree....na kwa wakati ule darasa langu tulikuwa watu 9 tu katika fani ya Science, kama kuna watu wa aina hiyo walioonyesha udhaifu tafadhali naomba tufahamishane coz kupitia ujumbe wako ndio mara yangu ya kwanza kusikia kuwa wame-prove failure, otherwise ni Bachelor graduands............OVER
Duh usingesema wewe ni product ya kwanza mkuu ni aibu product za kwanza za UDOM ndio zile wanazoziengua kwenye ajira ,product za kwanza za UDOM ni bomu hata wahadhiri wenyewe wanajua
 
mpigamsuli,
Siwezi kukataa ukweli hata siku moja kama uraiani ndio inatafsirika kuwa ni product mbovu huna budi kuwaonyesha kuwa ww personally upo vizuri kwa kuonyesha competence & confidence.
Pamoja na maelezo Tangulizi hapo juu napenda nikujuze kuwa mimi ni first product katika ngazi ya Master Degree na si Bachelor degree....na kwa wakati ule darasa langu tulikuwa watu 9 tu katika fani ya Science, kama kuna watu wa aina hiyo walioonyesha udhaifu tafadhali naomba tufahamishane coz kupitia ujumbe wako ndio mara yangu ya kwanza kusikia kuwa wame-prove failure, otherwise ni Bachelor graduands............OVER

Hebu kuwa wazi master umesomea UDOM hongera sana kwa usomi wako ila nataka uutangazie uuma kupitia jf kwamba UDOM ni boraa,, swali 1. unasema umesoma master yako UDOM sawa lakini mkuu Kipindi cha nyuma tulisikia kwamba eti UDOM kuna uhaba wa maprofesa na madoctor(PhD) ,sasa basi mtu masters atafundishwaje na mtu mwenye masters mwenzie hebu tutoe hofu mkuu
 
Evelyn,
Somehow nakuunga mkono coz siasa inayoendeshwa UDOM si ya kawaida na wasipokuwa makini itasababisha ubora wa Elimu ya UDOM ushuke sana. Pia bureaucracy na ukiritimba usio na tija umejaa katika ngazi ya UTAWALA....otherwise kama kutafanyika Specializationa na Distribution of Power nadhani kila mtu atatambua majukumu yake. Pamoja na haya maelezo sehemu yoyote ambayo watu huogopana kuwajibishana matokeo yake ni zaidi ya kile tunachokiona UDOM na baadhi ya Vyuo vyetu vya Umma.....OVER.

Tena tatizo lipo kwenye uongozi wa juu mambo ya kuwekana ushemeji shemeji ndo kabisa
hivi yule mtu mfupi bado yupo????
 
Bwana mdogo Mpiga Msuli,
Usidanganyike hata siku moja kuwa Vyuo vyetu vya Kitanzania vinajitosheleza in terms of Wataalamu, Tangu nimeanza kusikia Chuo Kikuu cha DSM miaka zaidi ya 50 imepita lakini ukienda pale ndani utakuta wataalamu wangi ni magumashi ukiuliza kwa undani zaidi utaambiwa wale competent wapo Masomoni, sembuse UDOM ambacho kimeanza juzi juzi tu!!!!
Naomba nikutoe wasi wasi kuwa pamoja na kwamba UDOM ndio kilikuwa kinaanza lakini nilifundishwa na wataalamu competent na qualified japo kuwa baadhi tuliona dhahiri kuwa walikuwa ni Part time Lecturers, Sijawahi kusikia kutoka college yoyote pale UDOM kuwa Masters degree students wamefundishwa na Assistant Lecturer...........OVER

Hebu kuwa wazi master umesomea UDOM hongera sana kwa usomi wako ila nataka uutangazie uuma kupitia jf kwamba UDOM ni boraa,, swali 1. unasema umesoma master yako UDOM sawa lakini mkuu Kipindi cha nyuma tulisikia kwamba eti UDOM kuna uhaba wa maprofesa na madoctor(PhD) ,sasa basi mtu masters atafundishwaje na mtu mwenye masters mwenzie hebu tutoe hofu mkuu
 
Kwel me pia naipenda xana udom ila utawala ndo chanzo cha matatzo,tangu lini wanasiasa waongoze taaluma,Wakifagia utawala udom will be among the best in Africa
 
vice UDOM,
Juzi Chuo Kikuu Cha UDOM wametoa updates kuwa endeleeni kuwa watulivu watatoa karibuni ila tarehe ya kufungua Chuo ni 12 October, kwa hiyo endelea kujiandaa kwa kupitia taratibu zao zinazopatikana kupitia website yao ikiwa ni pamoja na gharama za programme uliyochaguliwa kujiunga nayo................Hongera kwa kupewa fursa ya Kusoma UDOM

Vice Naomb Unijuze Kuhusu Utaratibu Wa Kuhamia Hapo Na Kubadilisha Course Pia..Mm Nlchaguliwa St Joseph Ya Dar,mechanical Engin. Lakn Nataka Kuhamia Software Eng...Nlipokua Jeshn Nlmwachia Mtu Anijazie Vyuo Na Course Lakn Alchanganya Kdogo Na Kufanya Knyume Na Nlvo Mwelekeza...Ukiweza Nipatie Namb Yako Tafadhali
 
Back
Top Bottom