UDOM ndiyo chuo bora Tanzania

Tatizo watu wanasikiliza ya kuambiwa na habari za kwenye magazeti mimi huwa sipotezagi muda kuwajibu wanaoikejeri UDOM ila wanashangaa sana wanapoona uwezo wangu upo maili mia zaidi yao
 
Najiuliza tu hapa,hv chuo bora kinadahili vilaza? Rejea kauli ya jpm,chuo bora kina mgomo wa wahadhiri? Chuo bora kinachelewesha fedha za wanafunzi kila siku had wanagoma na kupigwa na ffu?chuo bora kimezuiwa kudahili prog ya md medicine? Chuo bora hakina hta prospectus online? Hadi kuna thread ililetwa humu mtu analalamika haoni prospectus online? Je chuo bora kinaazima wahadhiri toka vyuo vingine vikuu mfano udsm? Chuo bora mkuu wake hana msimamo anaagizwa adahili vilaza na anafanya? Chuo bora kinatawaliwa na siasa hadi baadhi ya taasisi za serikali zinaomba kutumia majengo yake kma ofisi ktk safari ya kuhamia dodoma?..........kiufupi ukiweza kujibu maswali yote haya ndo uje tuongee sasa[emoji4]
 
Tatizo watu wanasikiliza ya kuambiwa na habari za kwenye magazeti mimi huwa sipotezagi muda kuwajibu wanaoikejeri UDOM ila wanashangaa sana wanapoona uwezo wangu upo maili mia zaidi yao
..Point mkuu [emoji122] [emoji122]
 
Una matatizo kadhaa,cha kwanza uelewi JPM alikua anazungumzia nini,alafu cha pili unasoma threads from people alaf unachukua kama facts unaleta hapa,alaf hoja za fedha hata nisiongee maana hii fact umeisema kama hujasoma chuo kabisa,,,acha niulize umesoma chuo???[emoji1] [emoji1]
 
..Tatizo wewe unafika Google unauliza swali unaingia unapata vitu unatuletea kutoka wenye Blog za watu alaf unataka tukuamini kwelii?![emoji23] [emoji23]
Namuuliza ndali muda huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unataka nikuletee vyeti au?una uhakika sielewi rais wako alikuwa anazungumzia nn eeeh,mi sio mjinga kma unavyofikiri,nan aliekwambia ninasoma threads tu,ninachambua ukweli pia,jibu maswali yangu sio kubwabwaja tu bila hoja,ukiweza kujibu hayo ndo tuongee
 
Ndugu wewe ni Mwanasiasa,alaf sikuhitaji vyeti kujua kama Ulimaliza chuo i needed to see that kwenye message nijue umesoma hence said sijaona swali lolote ambalo ni zito kunifanya nipoteze useful body resources kukuelezea,,ebu Jiulize alaf ujijibu alafu uendelee kuongea na wewe mwenyew
 
Nimegundua siwezi bishana na mtu wa type yako maana kiswahili rahis lakin huelewi,id yako tu inaonesha wee ni mtu wa aina gan hvyo napoteza muda kubishana na mtu mwenye poor iq badala yake anaendekeza mihemko tu na kuita hoja siasa,jitahidi umalize chuo kijana
 
..asante Kiongozi
 

Uandishi wako tu unathibisha tu wewe ni wa udom.
Then unashindwa hata kuelewa unaongelea nini,nlitegemea useme quality ya education inayotolewa hapo iko juu ukilinganisha na vyuo vingine na utoe sababu.Sasa kama unasema ni sawa tu na vyuo vingine io udom inakuaje bora?

Hizo sifa nyingine za mandhari,umbali kutoka mjini,gharama ya maisha,mahali labda ka ulitaka kusema udom ni hotel ya kitalii kwa wanafunzi bt sio sifa ya kusema ni bora kuliko vyote Tz.

Ukishachaguliwa udom usitafute sababu ya kujifariji we soma tu ujiandae na maisha ya mbelen coz mwisho wa siku utaangaliwa wewe sio chuo ulichosoma.
 
Unamfaham fact za Ku rank vyuo
 
..Inaonyesha kabisa hujui sifa ya Chuo bora na kama ulikua hujui Mkuu,hamna chuo kinachotoa Elimu bora kuliko kingine hapa Tanzania Its all the same na sitafuti kujifariji najua ukweli upo wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…