huna maana ww unayesoma jangwani what iz udom kwanza umeshasikia mhadhiri yeyote wa udom kaulizwa kuhusu maoni ya uchaguzi?
Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.
vipi shida ya maji wamerekebisha? Endeeni tu kufungua matawi hata mabwenini sawa tu!
ALITOA HADI MABASI? HII SASA BALAA...SO CONFIRMED THAT UDOM na U-CCMTatizo lipo kwny uongozi wa juu wa UDOM. Mkapa,Bilal,Kikula,Mlacha,Kinabo,Mama Sawasawa na Ame wote ni makada ya CCM. Ivyo UDOM kinakua ni njia ya wao kudhiirisha ukada wao. Mfano, wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,mkwere alivyoenda Dodoma,Mlacha alitoa yale mabasi meupe ya kichina,mali za chuo ili yabebe wafanyakazi wakahudhurie mahubiri ya mkwere. Alipoenda kamanda Slaa,kuna wafanyakazi wakamfuata the same Mlacha ili atoe mabasi wafanyakazi waende kusikiliza hoja na sera za ukweli,wakaulizwa "mnataka kazi au?" Ivyo tatizo ni uongozi unajipendekeza kwa mkwere (Kikula anastaafu mwezi huu,so anataka hata ka nafasi ka ubalozi au ukatibu mkuu).
Jiulize........kwa nini vyuo vingine havijawahi kutuhumiwa kuwa ni vya ki-CCM......???Wengi wamekuwa wakiongea mengi kuhusu UDOM na CCM sasa ninachojiuliza sijui hivyo vyuo vingine vya serikali ni vya TLP, APPT Maendeleo, Demokrasia Makini au Jahazi!!!
Naomba wana JF wenzangu tuelewane kuwa UDOM ni chuo kikuu cha serikali kama vilivyo vyuo vingine vikuu vya serikali. Juu ya mitazamo na itikadi za wanachuo zipo tofauti. Kila chuo kuna wana CCM, CHADEMA au chama chochote cha siasa.
NAJIVUNIA KUWA MWANAFUNZI WA UDOM nimezipokea changamoto na kuzikabili.
Sababu za kuwapondeni kielimu si unaziju...............??? Mmezidi u-CCM utafikiri ni chuo cha CCM....... kinachotoa "DEGREE YA KITANDA CHA MAWASILIANO.............. bedcom."!!!tumepondana kwa itikadi,za KISIASA na DINI tumeona haitoshi sasa tunapondana KIELIMU,kweli huko mbele tutalipoteza taifa na sijui hata maofisini tutabaguana kati ya watu waliosoma UDSM na UDOM,ila namshukuru MUNGU na degree yangu ya BEDCOM kutoka UDOM,
Ni cha serikali lakini cha Kata
Ndo hivyo.........huoni CCM inavyotaka kuuchukua msikiti wa KADHI.......???hahahah
ama kweli sasa tunakoelekea makanisa na misikiti yatakuwa mali ya vyama