samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Hawaelewi kwamba wamekuwa wakitumika kama stepping stones na wanasiasa hawa!...Joto la kisiasa kwa sasa lime'slow down, so mambo yote yanarudi kwenye zero attention...wakome hawa wasaliti.
teh teh tehe, ngoja niongee na mtu pale
Mkuu umenichekesha sana! Ukiwa unapigwa virungu huwezi kupokea simu !hawapatikani
Ina maana muungwana alifanya uzinduzi wakati miundombinu si bora?... una madai makuu mawili moja likiwa ni madai ya kufanya mafunzo kwa vitendo na la pili ni kudai miundombinu bora. ..