UDOM lini mtakuwa independent and stable?

Financial Freedom

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2016
Posts
1,250
Reaction score
2,314
Wakuu nawasilisha, husika na title hapo juu;

i)Udom imefanikiwa kutoa graduates wa mambo ya ICT but still website ya chuo haileweki and sometimes unreachable

ii)Udom kozi ya udaktari imefungiwa admission kwa mwaka jana inawezekanaje chuo kikubwa na chenye sifa Afrika Mashariki ambacho tunategemea ndoto za wadogo zetu na madaktari wetu wa baadae zitimizwe kuwa hivi, kwani ufungwaji wake umeathiri sana malengo ya watanzania wengi.

iii)Udom wanafunzi wa Shahada ya sayansi ya uinjinia wa mafuta na gesi field work inasumbua jambo ambalo chuo ina jukumu la kuwatafutia ikishirikiana na shirika la taifa la mafuta(TPDC)

iv)Walimu wa Udom wengi ni temporary na wana elimu ya Uzamili(masters) na sio uzamivu(Phd holders) kwanini isiwaendeleze waalimu wake kwani serikali inapeleka pesa chuoni pia chuoni wanafunzi wanalipa ada..

AHSANTENI...
 
Wee jamaa ungefikiria kwanza kabla yakuandika hyo..
Daa yaan mambo ya mwaka jana unaandika leo
Unataka attention nimegundua
Kama unataka kusoma medicine Mwaka huu unaweza apply chuo kimeruhusiwa
Ila nahisi hyo uliyoandika ni kwasbb ya website kutofunguka
 
Naskia DVC - Udom ni Kada Mwaminifu Wa CCM,
Hili la websites vyuo vya bongo ni Aibu,.
Wanawekaga email pale, tuma uone kama utakaa ujibiwe.
All in all vyuo vyetu vina safari ndefu sana.
Nlishangaa UDOM kufungiwa MD ikiwa wana College, cadavers, Maabara, Walimu na Modern hospital wakati huohuo UDSM wasio hata na Mwalimu mmoja wakaruhusiwa.
Vyuo vyetu vina changamoto nyingi sana
 
Weka takwimu hapa, wenye masters ni wangapi? PhD wangapi? n. k siyo kuleta story za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…