Utaendelea kutafanwa na itikadi za vyama/kisiasa mpaka lini???kumbuka vyuoni ni mahali pa kuandaa wasomi na si wanasiasa thus why kila anayeonekana na usiasa chuon hupigwa chini mara moja!! Umesahau yaliyoukumba uongoz wa wanafunzi UDSM??ONDOA FIKRA ZA KUTAKA KUPANDIKA USIASA VYUONI!! Nadhan sasa mambo yako wazi,vijana sasa wameamka hawataki viongozi dhalimu hasa hawa vipandikizi wa sisiyemu!
Ndugu achana na ukabila. Naomba umkosoe mtu binafsi na sio kabila.
Pia ningeomba MD kuchakachua jumbe zote za matusi,zinazoendekeza udini na ukabila.
Nia na lengo la JF kuleta na kuchanganua hoja kwa masilahi ya Jamii na sio kuleta mpasuko na chuki za kikabila.
washukuru kulikuwa na "mtu" (yaani mkuu wa wilaya) kati yao, vinginevyo yangejirudia yale ya arusha manake sie wengine (tusio wateule) tunapaswa kutii sheria na polisi wako kazini kuhakikisha serikali iliyo madarakani inapata heshima yake au inapendwa na wanachi- chagonja huyo