UDOM Kwa Nini Hampendi Kupokea Simu Za Wanafunzi?

Nipe Andiko

Senior Member
Jan 20, 2017
133
133
Badilikeni jamani, sio vizuri. Mkipigiwa simu mpokee au kutoa majibu ya kueleweka. Nawasilisha
 
Karibia muda wote wanapigiwa simu, ila HAWAPOKEI. Je, hii. Ni tabia njema kweli?
 
UMetisha mkuu nadhani wamekusikia
wale mnaoombaga picha mmewekewa kabisa
:D:D:D:D:D
 
Ndiyomaana unakuta first year wengi kutoka mikoa kama Morogoro nakwongineko wanalazimika kwenda UDOM utawala mkuu kwa lengo lakuchukua fomu za joining instructions,hii yote yawezekana nikwasababu ya wao UDOM kutopokea simu nakutolea ufafanuzi mambo madogadogo kama hayo ambayo yangetatuliwa huku wahusika wakiwa makwao kwa suala la fomu za joining instructions zimo kwenye mtandao hivyo nikwamba first years wengine hawajui.
 
Kwa hilo jambo la kutopokea simu kwa udom ni kweli kabisa mm mwenyewe jana nimewapigia mpaka nikaomba poooo bila mafanikio
 
Back
Top Bottom