Serikali iliahidi kutoa mkopo kwa wanafunzi watao soma diploma ya ualimu, lakini mpaka leo kuna watu wameishi hapa udom kwa muda wa miezi miwili bila kupata huo mkopo ,maisha magumu sana watu wanaanza kufungasha mabegi kwa kukosa hela ya kuendesha maisha ya chuo,hivyo basi jumatano ijayo tunakwenda utawala kuhoji nini hatima yetu,"Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu"na taifa halita songa bila kuwa na walimu bora wa sayansi