Udom jaman

Udom jaman

nny

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
40
Reaction score
5
Yaani kusubiri confirmation siku zote hizo mpaka tunakonda ndio nn
 
yaani wanaboa kweli hawa jamaa,watu kila siku wanawawaza confirmation tuuu,mda wote huna amani unawaza sijui watanipokea au laa... bora hata ule utaratibu wa zamani wa watu kuomba direct chuoni haukua na stress kiasi hiki. THIS IS TOO MUCH BORING!!!
 
wanaboa xana...wale wa 1st round ndo wana access ya kupata "admission letter" ila 2nd round mpaka leo hakuna kinachoeleweka,,cjui wanangojea k2 gani mpaka leo! yan mpaka wanaboa..
 
wale wa 1st round nao wanavyotuchefua,,,,kila mda wanaulizana mambo ya chuo,kwenda kulipa ada,kureport sijui admission leter washachukua...wanaendelea kutunanilii.mtu ukikaa kila mara ni kuangalia profile mda network ikisumbua kidogo unahisi kujikojolea
 
Mungu ajalie, wahanga tupo wengi, sijui hizo confirmation zitakamilika lini
 
wale wa 1st round nao wanavyotuchefua,,,,kila mda wanaulizana mambo ya chuo,kwenda kulipa ada,kureport sijui admission leter washachukua...wanaendelea kutunanilii.mtu ukikaa kila mara ni kuangalia profile mda network ikisumbua kidogo unahisi kujikojolea
hahahahahaha! kumbe 2po weng ila hatujuani? lets keep on waiting..chek me 0652039808 tupeane updates!
 
ujue nimeulizwa mambo ya admission n.k nimejikanyaga hapa home,,hata cha kujibu sina!..DAMN
 
1445458747315.jpg
ujue nimeulizwa mambo ya admission n.k nimejikanyaga hapa home,,hata cha kujibu sina!..DAMN

Io hapo sasa kila kitu mtafutiwe
 
Tulieni vijana bado wiki mbili mtaingia tu kwenye system
 
Hiyo siyo admission letter, admission letter inakuwa na jina lako ni barua yenye maelezo bila hiyo hupokelewi udom

Direct costs n gharama zipi?? Znahusu nn??
Afu sorry hela y kulipia hostel mbna hawajaonesha km unajua kias msaada pls
 
Direct costs n gharama zipi?? Znahusu nn??
Afu sorry hela y kulipia hostel mbna hawajaonesha km unajua kias msaada pls

Direct cost ni gharama za moja kwa moja ukilipa hiyo unakuwa umelipia gharama za hostel za mwaka mzima na medical capitation. Gharama ya hostel kwa siku ni 500 imepigwa mahesabu kwa mwaka na kujumlishwa kwenye hiyo direct cost hapo juu
 
Kwa information zaidi juu ya ulipaji na mazingira ya chuo tutafutane nipo hapo mwaka wa pili bsc chemistry
 
Back
Top Bottom