Ndugu wananchi habari!
Nina mdogo wangu hapo udom anaesoma ualim ktk biashara( bachelor of education in commerce),mwaka wa tatu amenifahamisha kua hali ya uendeshaji wa chuo na shughuli zake za kiutawala ni mbaya.
Mfano kanieleza kua ameomba provisional result saa ni nusu mwezi hajapatiwa na akienda kufuatilia ajibiwa majibu ya ajabu ajabu na ma-secretary.
Pili idara yao ya kukabidhi vitambulisho imewatangazia ghafla et haitashughulikia zoez la clearence mpaka tarehe mbili julai,wakat mitahani yao inamalizika trh 27,ongezeko ni siku tano ambazo kwa matumiz ya 2000/=kwa siku ni elfu kumi kwa siku tano zilzo ongezwa kwa kiajabu halaf zidisha kwa wanafunzi mia tano, ni kias gan? Sasa mim nauliza hiv utawala upo na unahudumia watu gan kama si wanafunzi wenu?
NB: Mdogo wangu hakubahatika kupata mkopo hivyo kanieleza il nijipapase mapema.
Wenye kujua vizur njoon mtueleze tatizo ni nn?