Utalala UDOM chuoni kwa kipindi chote cha masomo yako. Ila pia usipotaka unaruhusiwa kukaa nje ya chuo. Niwewe tu. Lkn hostel zipo za kumwaga.... Last year block zisizopungua tano huko humanities zilikuwa vacant.