Unajua bahna kuna watu wanakera kweli kweli ww kama sio muhusika kwann usinyamaze kimya!!! Hayo mambo mnayosema kuwa udom ni chuo cha kata yalishasemwa mpaka watu wamechoka wanaokama ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu maana hutafaidika chochote tupia maneno kuhusiana na uzi unavyosema na sio kuleta mambo ambayo hayajengi...naipenda chuo changu ndo maana nafurahi kuwasaidia ndugu zangu wanaokuja kuanza masomo so kama vyuo vingine hawajaweka sioni sababu ya kuanza kusema cjui tuna kiherehere ,, sasa ww utaanzisha uzi hata watu hawajaona post zao....