thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,436
Wanafunz wa chuo cha Kata wanamchecheto.Habarin ndugu zangu,, huu uzi nauanzisha kwa kuwaweka pamoja wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika program mbali mbali katika chuo kikuu cha dodoma,, kupeana taarifa za awali kuhusu chuo na hata program husika..hivyo basi ushirikiano unahitajika lakini pia kwa wale ambao wamechaguliwa program za bachelor of science in chemistry, biology, mathematics, physics, statistics na bachelor of science with education kwa pamoja ni college of natural science unaweza kunitafuta whatsapp kwa namba 0625641036 kwa infomation zaidi kuhusu hiyo college kwani nipo hapo naingia mwaka wa tatu kwa program ya bachelor of science in chemistry
Kata gani hiyo aisee???Wanafunz wa chuo cha Kata wanamchecheto.
Mbona hamjiuliz kwanin wengne hawana mbwembwe kama nyiny.
Jaman tumekoma tusameen
chimwaga......Kata gani hiyo aisee???
Ng'ong'onaKata gani hiyo aisee???
Mkuu hapo hakuna vigezo vya kujua hiki Ni cha maana Na hiki sio cha maana, sasa lipi Ni lipi kwenye tuloyasema??????Jamani huna cha maana cha kujadili hapa bora upite usepe na sio kuongea ujinga
Which!!.Which is which??? Chimwaga or Ng'ong'ona???
Ndio first batchNaomba kuuliza kama tayar UDOM wamesha-release majina ya wanafunz wanaopaswa kujiunga first year 2016/17
Sio uongo huo de Plato,kapiti(typing errors)tu!!,,Hakuna college of natural science,bali ni natural and mathematical science.Acha uongo wewe,km pm.