Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,924
- 6,739
Daaah hii post ni ya siku mingi saana mwaka 2011 nlikuwa kidato cha kwanza nilikuwa sielewi maana yake ila now nipo chuo mwaka wa kwanza nilishauriwa sana nisiichague hii international relations
Duuh hujambo bwana mdogo..Nilikua form 5 .Siku zinakimbia sana ni juzi tu
Sent from my ALE-L21 using Tapatalk