Kila chuo kinatoa majina naona vyuo vishaanza kutoa either ni single or multiple ila km usipoona jina lako usikate tamaa kuna second and third round na nawashaur chaguen kozi kulingana na ufaulu na co lazma wote 2some muhimbil au md kozi ziko nying na vuuo kadhalika