Msisome tu kwaajili ya kufaulu mitihani bali kwaajili ya kuelewa kwani siku hizi hawaajiri GPA bali uwezo wa kupractice ulichosoma.Pia jitahidini kujenga credibility ya chuo chenu kinachoonekana kuwa na graduands ambao hawawezi kuperform!Study and prove it wrong kwa wale wanaokiita chuo hiki cha KATA!au Kilimo kwanza
Sio kila thread lazima uchangie ukiona haikuhusu soma ondoka! Sasa UDOM kutakiwa best wishes umekerwa nini? Kuna ulinganishi wa vyuo umeletwa hapa? Kuwa na busara ndg hata za kuazima.
Sio kila thread lazima uchangie ukiona haikuhusu soma ondoka! Sasa UDOM kutakiwa best wishes umekerwa nini? Kuna ulinganishi wa vyuo umeletwa hapa? Kuwa na busara ndg hata za kuazima.