Udom bado kiza totoro?

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Imefanyika interview hapa Udom siku za hivi karibuni, lakini mpaka sasa ni Giza totoro hatujui ni kipi kinacho endelea
Tunashindwa hata kutoka tukihisi tutaitwa kesho
kwa yeyote mwenye habari tujulishane
 
Imefanyika interview hapa Udom siku za hivi karibuni, lakini mpaka sasa ni Giza totoro hatujui ni kipi kinacho endelea
Tunashindwa hata kutoka tukihisi tutaitwa kesho
kwa yeyote mwenye habari tujulishane

mnamo mwaka 2011 udom walitoa nafasi hizo hizo ambazo waliita watu kwenye kuandika na bahati mbaya hawakuita kwenye kuongea. Na mwaka 2012 waliita nafasi hizo hizo kwa idadi ile ile na angalau hapo watu waliishia kwenye kuongea.Ninachojiuliza mwaka huu itakuwa kama miaka hiyo ya nyuma?au angalau watabadilika?
 
Mkuu ukishatoka kwenye interview jifanye umesahau kabisa na endelea na mambo yako Mengine.
hii itakusaidia
 
Sijajua ulioomba nafasi ipi ila kwa walioomba post ya planning officer....wameanza kupigiwa simu
 

mtaani paguuuuumuuuu nimepachoka, natamani nipate kazi
 
mwenye mpya jamanoooo adondoshe japo tetesi a/c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…