UDOM mambo yao yako very slow mno sijui kuna nini pale,bado hawajatoa hizo admission letters make kila mtu anaziulizia wao wanachokazania tu ulipwaji wa ada et by 30th Sept ndo mwisho wa kulipa hali wakijua hata Joining instructions haziwafikia walengwa nahisi kuna uzembe mkubwa chuo hiki!.Habari za shughuli wana jf.Kuna kijana mmoja mkazi wa Kigoma amenitumia sms alitaka kujua je admission letters kwa undergraduate 2011/2012 udom zimeshatoka, na kama tayari je utaratibu wa kuzipata atatumiwa au inabidi atoke kigoma kuzifuata kwa mwenye taarifa tunaomba amjuze, nimecheki kwenye website yao hakuna taarifa zozote.kila la kheri.
Kwa taarifa walizonipa udom admin, ni kwamba, admission form nizakudownload net, unaingia kwenye web ya chuo- admission then unaingiza form four index no yako na password ni sir name yako. But still hata mie napata difficulties juu ya dogoraz, nimejaribu net lkn chenga licha ya safari kadhaa nilizoenda pale chuoni, wananipa majibu yasiyojitosheleza, mara net, mara Dr. mvungi anashughulikia,, too much sarakasi.
ok ndugu na kuhusu joing instructions wameshatumiwa, nakumbuka kipindi najiunga udsm zote i mean joining instructions and admission letters tulikua tunazifuata chuoni.kama ndio hivyo hicho chuo kinahitaji mabadiliko they ar not serious in serious issues.
Last year walinitesa sana hawa pimbi. Mwambie aende tu chuoni tarehe za kufungua na hzo mambo atavikuta pale administration. Pia km vipi alipage na ada kabisa kuepuka kwenda kuzimia kwenye foleni za crdb. Karibu UdoM, KARIBU NG'ONG'ONA kwa wajasi!
Last year walinitesa sana hawa pimbi. Mwambie aende tu chuoni tarehe za kufungua na hzo mambo atavikuta pale administration. Pia km vipi alipage na ada kabisa kuepuka kwenda kuzimia kwenye foleni za crdb. Karibu UdoM, KARIBU NG'ONG'ONA kwa wajasi!
ng'ong'ona oyeee! Dah nakumbuka nilipokuwa pale
mbona huko ng'ong'ona hamna wahuni,wahuni 2ko mabibo bana.
huko ndiko walikomteka yule DC kwa zaidi ya saa 4
mbona huko ng'ong'ona hamna wahuni,wahuni 2ko mabibo bana.
Cha Kata hicho
Cha Kata hicho