Udini umepiga hodi UDOM!!!


ama kweli we mchuzi eti unapinga anachosema mkuu wako,uongo ni uongo no matter who say it sasa we umekulia familia za kidictator huko mara unaamin kila analosema mkubwa dah nyie vilaza mnabebwa na hili jina la GT..siwezi kutumiwa mimi kueneza ujinga sio mjinga mim ila na mashaka na wewe unapiga kelele af huna solution ya Tatizo kaa kimya..hauna upatriot wowote kama ni kulalama tu na usomi wako wa kujua kusoma vitin.
 
uongo mkubwa na wakijinga pale wakristo ni weng kuliko waislam na wakristo wana madhehebu meng na kila dheheb lina block lake waislam wana chumba kimoja tu.
 
Basically;UDOM kuna tatizo kubwa la msingi,kwa namna mambo yanavyoenda nadhani tutegemee uharo mtupu kwenye chuo hiki....

kama huu uliouharisha hapa.. hamna icho kitu umekurupuka na kuchangia jambo usilolijua kaa kimya.
 
kafiri mkubwa ! Laana tulahi !
 

ni mahali pazuri kwa kusomea kwa maana ya vyumba vikubwa vya madarasa na madirisha mapana yenye kuingiza mwanga wakutosha..kama sekondari perfect vision.
 
Kuna siku nlimgusia Mdau wa Ngazi za Juu za Usalama hapa TZ, nlihoji uwepo wa watu wa dini fulani ambayo mdau mmoja kaitaja hapo Juu, nilikuwa nafuatilia mafao yangu NSSF Ubungo, kilaofisi ni wale wale nilijiuliza sana ckupata jibu, baadae kuna ndugu yangu amemaliza Sheria UDSM alikuwa attached NSSF Dodoma hakudumu akawatema nlivomuuliza akadai hapana future ajira zao zipo biased sana kwa dini fulani, Ikanipa kiherehere zaidi nikauliza wadau walokwisha wahi fuatilia benefit zao Mbeya hali ile ile, Shinyanga pia!!!

Mdau wa Usalama akanambia Unashangaa NSSF tu!!! Nenda UDOM ukashangae, mahala ambapo tunategemea kupika intellectuals wamepandikiza watu wanamna hiyo, ambao Historia inaonesha huwa hawajiwezi!!! Very weak wengi wao!!!

Hakuishia Hapo akadai Mheshimiwa kutoka Magogoni alipendekeza Jina la Kamishna wa TRA wa dini hiyo baada ya huyu wa sasa mda wake kuwa umeisha, lile jina lilikataliwa sababu ya sifa na Dini pia, akaamua kumuongezea muda aliepo!!!

Hizi ni Chache tu katika Usalama huko juu watu wanaopata promotion kwa sasa wengi wao ni wa ile dini!!! THIS IS TANZANIA, AND THE ORDERS FOLLOWS THE CHAIN OF COMMAND!!! jk
 
Huyu jamaa naomba amalize haraka muda wake ajira zianze kutolewa kutokana na sifa zilizo wazi
 

mmejiingiza kwenye udini kijinga na mnaushabikia nakwambia huu MSIBA tutakuja kujuta cku moja..na ebu nijue waislam peke yao ndo wadini?
 
ipo siku watafungua msikiti pale halafu watatoa ban kwa dini nyingine kuabudu
'' Je ? Wanataka dini isiyokuwa ya Mwenyezi Mungu, na hali kila kilichomo mbinguni na ardhini kinamtii Yeye, kikipenda au kisipende? Na kwake (Allah SW) watarejeshwa wote.
 

wewe nani kakwambia utukane dini za wenzio thread imekuelekeza hvyo? Ujue huu UHALO mnaoushabikia ipo cku mtajuta na mtaona tamu chungu yake..alaf nina wasiwasi kichwa chako kina mbegu za mapapai sio ubongo! Huwez kutukana dini ya mwenzio we km c wazungu c ungekuwa unaabudu misukule?
 
Huyu jamaa naomba amalize haraka muda wake ajira zianze kutolewa kutokana na sifa zilizo wazi
nyie pekee ndio mmesoma, hizo ajira wajinga wanazipata vp? Wagalatia kwa fitna !
 
ni mahali pazuri kwa kusomea kwa maana ya vyumba vikubwa vya madarasa na madirisha mapana yenye kuingiza mwanga wakutosha..kama sekondari perfect vision.

nenda ka-comment FACEBOOK huko ndo watoto km nyie
 

tunapigzana kelele ni mambo ya kimaslah Tec walidai eti ni islamic university baada ya kudeclare kitabeba madent elf 40 imagne vyuo vya TEC km Saut na vngne ingekuwaje? Then wakaja na hii dhana ya udini kumbe waliogopa kupoteza wanafunz ktk kudahli form six, bahat nzur ni wakristo ndo weng UDOM jambo la islamic university ni propaganda...kuwa makini bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…