Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Ndiyo. Ingawa Mushi alishawahi kuwa Mwenyekiti wa UVT, Mwenyekiti wa Wilaya lakini leo wanahoji eti kama inawezekana Mhehe akagombea Uenyekiti wa Mkoa wa Kilimanjaro na akachaguliwa!Uchagga tena?....... Kwa sababu ya huyo afisa ardhi mstaafu!!
wacha wavune walichopanda.Siku mbili zijazo CCM Iringa watafanya uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya mkoa. Lakini kama ilivyo kawaida ya "Karma" silaha ile ile ya Udini na Ukabila ambayo huitumia dhidi ya wapinzani wao, leo hii ndiyo inakivuruga chama hicho hapa Iringa.
Uislamu, Ukiristo, Uhehe na Uchaga ndiyo mzizi wa Kampeni hizo.
Wachaga badilikeni mbona kila kabila linawaogopa au kuwasema vibaya,mbona makabila mengine hayasemwi,mfano sisi wakurya
Acha ujinga
Wewe ndie mpumbavu,maana kila kukicha mnasemwa vibaya,kwanini msibadilike jamii iwaamini.Huyo sio mjinga; ni mpumbavu.
Wewe ndie mpumbavu,maana kila kukicha mnasemwa vibaya,kwanini msibadilike jamii iwaamini.
Wewe ndie mpumbavu,maana kila kukicha mnasemwa vibaya,kwanini msibadilike jamii iwaamini.
Kuoa binti wa kichaga ni sawa na kujenga nyumba kwenye milki ya balabala.Vyasaka acheni wivu wenu wa kijinga.
Mchagga atabaki kuwa Mchagga tu. Nyie semen masemayo, kamwe hatutawaabudu vyasaka, maana toka enzi za mababu hatujawahi kuwaabudu vyasaka japo mna madaraka. Sisi tupo safi kiuchumi, na hilo ndilo msingi. Hayo mengine semeni tuu maana mna midomo mabeseni ya kusema. Talk talk vyasaka
Kuoa binti wa kichaga ni sawa na kujenga nyumba kwenye milki ya balabala.
BarabaraBalabala ni kitu gani?
Kuoa binti wa kichaga ni sawa na kujenga nyumba kwenye milki ya balabala.
Barabara
Wezi sana hao wachaga sio watu wakuwapa madaraka hata uenyekiti wa mtaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasemwa vibaya kwa sababu zipi? mwenye sifa lazima apewe nafasi nyie endeleeni kukaa kwenye Majeshi na forms lever faillier zenu wenzenu wako kila kona ya tanzania wametawala kila nyanza zote sasa sijui wewe ukiendele kulialia itakusaidia nini na chuki binafsi huku mwenzako anasonga mbele yaani mmeshikwa pabaya sana.Wachaga badilikeni mbona kila kabila linawaogopa au kuwasema vibaya,mbona makabila mengine hayasemwi,mfano sisi wakurya