kuna kitu bw/bi. semeni ukwelihapa ishu ni ile ishu ya yule mchokozi kukojolea msaafu. HAKUNA CHA UDINI WALA HAKUNA CHA JAZBA!!
Yote haya ni Mradi wa zamani na wa milele wa CUF Zanzibar irudi kama zamani kuwa nchi huru na ikiwezekana yenye Uarabu na Uislamu zaidi ya Uafrika na Umix wa dini. Hili lisingewezekana kama hawapo pamoja na CCM Zanzibar ila ilikuwa hajapatikanwa kiongozi nyuma hadi hapo alipokuja Amani Abeid Karume (mlezi wa kweli wa Uamsho) ambae ana nia na atafanikisha Uhuru wa Zanzibar, ndie aliwaita kina Maalim Seif na kwamba tafauti zao waweke pembeni wawahi kuipata Zanzibar kwanza, (japo karume aliunganisha serikali ili asipatikane wa kumkosoa kwa wizi wa kinyama na vitendo vyake vya kulipwa mabilioni na waleta dawa za kulevya ili waingize dawa visiwani zanzibar mfano nyuma ya airport mwenye yadi za magari yupo bwana Carlos yeye hupeleka pesa kwa magunia kwa Amani anapenda cash tu, pia yupo mhindi yule mfalme wa paje Noushad) amani amesaidiwa sana na kina Mansour Yusuf Himid ndugu yake na tapeli mkubwa, na pia Jaji Mkuu mstaafu Hamid Mahmoud sasa anakula bata Dar ndie alieandika katiba ya kusema ZANZIBAR NI NCHI FULL STOP mwaka 2009. aliongezewa mkataba asistaafu ili amalize hiyo katiba( cha ajabu Tanzania ilikaa kimya wakati sehemu yake inajifanyia katiba inayosema ni nchi tu bila hata kutaja kuwa ni sehemu ya Tanzania.) mkinikera nitazidisha mipashoNimekuwa nikifuatilia mijadala ya Taasisi ya kidini ya UAMSHO Zanzibar kwa muda mrefu. Jumuiya hii imesajiliwa kama taasisi ya kidini, lakini sasa inaonekana majukumu yake yamebadiliki na inafanya majukumu yanayopaswa kufanywa na chama cha upinzani katika Jamhuri ya watu wa Zanzibar. Jamhuri ya watu wa Zanzibar baada ya kuaanzishwa kwa "serikali ya Umoja wa kitaifa" kati ya CUF na CCM wananchi walikosa ule uhuru wa kukosoa serikali yao, maana serikali yote inafikiria jambo moja. Zanzibar tangu kuanzishwa siasa za vyama vingi imekuwa katika hekaheka hiyo kwa takriban miaka 20, lakini ghafla wakakosa hiyo nafasi ya kufanya siasa za demokrasia.Dirisha lile la CUF lilokuwa linatumika kuwasilisha mawazo yao limefungwa ghafla na mungu kawapa mlango mpana unaoitwa UAMSHO. Hili ombwe la kukosekana kwa upinzani Zanzibar limezalisha UAMSHO na kuipa nguvu na limekuwa tumaini jipya kwa wazanzibari. Nasema hivi kwa sababu leo hii CUF haiwezi kusema jambo lolote linaloendelea kinyume na maoni ya serikali ya umoja wa Kitaifa. Kwa hiyo, tuilaumu serikali ya Umoja wa kitaifa maana ndiyo wamezalisha kikundi cha UAMSHO na imechukua nafasi ambayo inapaswa kuchukuliwa na Upinzani zanzibar. Zanzibar inapaswa kurudi kwenye utamaduni wake wa upinzani ili taasisi za kidini zifanye kazi zao badala ya kujaza OMBWE la kutokuwepo upinzani.:embarrassed:
Sababu kubwa ni dini ya shetani ipo kazini.Tatizo sio Mkojo wa dogo.
hapa ishu ni ile ishu ya yule mchokozi kukojolea msaafu. HAKUNA CHA UDINI WALA HAKUNA CHA JAZBA!!
Sababu kubwa ni dini ya shetani ipo kazini.Tatizo sio Mkojo wa dogo.
Watanzania wengi bado tukiwa hatuelewi ni sababu zipi hasa zilizopelekea kutokea kwa machafuko ambayo hayakupishana muda na siku .wengi bado tuko gizani ni madai gani hasa ya msingi yanayotakiwa yafanyiwe kazi kwa pande zote mbili .tunashauku ya kujua kutoka zanzibar hadi bara .nawakilisha.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya Taasisi ya kidini ya UAMSHO Zanzibar kwa muda mrefu. Jumuiya hii imesajiliwa kama taasisi ya kidini, lakini sasa inaonekana majukumu yake yamebadiliki na inafanya majukumu yanayopaswa kufanywa na chama cha upinzani katika Jamhuri ya watu wa Zanzibar. Jamhuri ya watu wa Zanzibar baada ya kuaanzishwa kwa "serikali ya Umoja wa kitaifa" kati ya CUF na CCM wananchi walikosa ule uhuru wa kukosoa serikali yao, maana serikali yote inafikiria jambo moja. Zanzibar tangu kuanzishwa siasa za vyama vingi imekuwa katika hekaheka hiyo kwa takriban miaka 20, lakini ghafla wakakosa hiyo nafasi ya kufanya siasa za demokrasia.Dirisha lile la CUF lilokuwa linatumika kuwasilisha mawazo yao limefungwa ghafla na mungu kawapa mlango mpana unaoitwa UAMSHO. Hili ombwe la kukosekana kwa upinzani Zanzibar limezalisha UAMSHO na kuipa nguvu na limekuwa tumaini jipya kwa wazanzibari. Nasema hivi kwa sababu leo hii CUF haiwezi kusema jambo lolote linaloendelea kinyume na maoni ya serikali ya umoja wa Kitaifa. Kwa hiyo, tuilaumu serikali ya Umoja wa kitaifa maana ndiyo wamezalisha kikundi cha UAMSHO na imechukua nafasi ambayo inapaswa kuchukuliwa na Upinzani zanzibar. Zanzibar inapaswa kurudi kwenye utamaduni wake wa upinzani ili taasisi za kidini zifanye kazi zao badala ya kujaza OMBWE la kutokuwepo upinzani.:embarrassed:
Ishu ya mkojo ni tarehe 12 octoba, makanisa ya Zanzibar, Ruvuma, Kigoma na Madai ya Mfumo Kristo wa Kufikirika unayaweka wapi? Kutoa jibu rahisi kwa swali gumu ni sawa na kukikimbia kivuli chako!!
Iseme kweli nayo itakuweka huru
Kuna ajenga za siri, napata wasi wasi hata hao wanaleta hizi vurugu wana MoU na mkuu juu ya haya! Kwangu mimi ni ngumu kuelewa hawa jamaa wa uamsho waipe serikali masaa 26 kuwa Sheikh Farid aonekane, halafu in less than 12 hrs awe ameonekana!! Na naingiwa na shaka zaidi kuona haya yanatendeka baada ya Jk kurejea nchini.