Nibora uende ktk maisha yako ukimuamini Mungu nakuishi maisha Imani yako pasipo kusema dini ya mwenzako. Taifa changa kama tz ukisikia watu wanapenda kuutaja udini ktk kila kitu nilazima ujue kirusi hiki kipo hai ndani ya dam ya watu husika. Ukiona watu wana anza kuangalia majina ya watu ya mwisho ktk uajiri na kusahau sifa za uchapa kazi juwa kirusi kipo.
Taifa letu Tz ni moja ya mataifa duniani katiba yake imekataa virus hivi hatari vya udini na ukabila japo bado wapo watu wachache na vyama Fulani kwakweli wanaliaibisha taifa maana kwao ukabila na udini ndio karata tatu. sitaki aja chama wala watu ila uchaguzi wa Oct2015, ulionyesha mpasuko mkubwa wa kitabaka ktk udini na ukabila ktk vyama vya siasa.
Ukiacha vyama vyote chama kimoja at list wamejitaidi kupinga udini na ukabila ndani ya chama. lakini kama umwerevu nilazima ujiulize kwanini haka ka virus kanasambazwa? je ni nani hasa wanakasambaza na nikwaminajili gani wanakisambaza.
Udini na ukabila ktk taifa hili ndio silaha ya mwisho kuliangamiza taifa Tanzania. Huu ndio ukweli ambao muwasisi wa taifa hili aliuona na akahakikisha katiba ya Tanzania itakataza udini na ukabila na sisi sote ni mashaidi jinsi katiba imesaidia kuzima kirusi hiki japo sii kukiuwa.
Hatuna budi ilikukiangamiza kirus hiki kutunga sharia kali ikibidi hata kifungo cha maisha kuzuwia udini, na ukabila. pia niwakati muwafaka kwa serikali kuunda kikosi maalumu ndani ya idara ya Tiss kuchunguza, kufuta na kupeleleza udini na ukabila ndani ya taasisi za serikali na binafsi. ifike mahali udini na ukabila usitajwe kwetu.
Udini na ukabila ni virus hatari ndani ya mama Tanzania tushirikiane kumfuta na kumtokomeza kwa nguvu zote. Shime Magufuli