Udikiteta ni dhana tu au ni real? Lets call a spade a spade. Dikteta ni mtu mwenye tabia hizi

Udikiteta ni dhana tu au ni real? Lets call a spade a spade. Dikteta ni mtu mwenye tabia hizi

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,723
Wanabodi,

Hii thread ya swali moja tuu kuhusu dhana ya udikiteta Tanzania, Jee huu Udikiteta unaozungumzwa sana sasa hadi baadhi ya watu wanataka kujenga UKUTA, upo kweli in reality au ni dhana tuu ya kufikirika?.

Hapa swali la msingi ni jee huu udikiteta unaozungumzwa nchini Tanzania ya leo, ni kweli upo na una exist in reality au ni uzushi tuu wa jambo la kufikirika tuu ndani ya mind za watu waliofilisika kisiasa baada ya kushindwa kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi huru na wa haki, sasa wana zusha dhana za kizushi ili tuu kujifariji na kipigo cha kwenye sanduku la kura?.

Tangu baada ya kuibuka kwa dhana ya udikiteta nchini Tanzania, nimeanza kushuhudia baadhi ya watu na taasisi zikianza kutoa matamko na kauli za kujiumauma kuhusu udikiteta, huku wengine wakitoa kauli za kujikombakomba, wengine wakiongea kwa uoga uoga kuhusu huu udikiteta, huku wengine wakiamini Tanzania tuko kwenye udikiteta na wengine wakisema hakuna udikiteta Tanzania , ali mradi kila mtu anasema lwake!, hivyo ili kumaliza ubishi, naomba kibali chenu tumfufue kidogo Baba wa Taifa, hili, Mwalimu Nyerere tumuulize "jee kiongozi mwenye udikiteta ni mtu mwenye tabia gani?".

Msome Mwalimu...

1470768190261-jpg.378704

View attachment 378704
Tena Mwalimu Nyerere, hakuishia hapo, bali alizungumza kama Nabii, kuhusu huu udikiteta unaozungumzwa, hebu msikilize hapa akiitabiria Tanzania kuja kuwa under dictotorship

Sasa ni kama huu unabii umetimia...
Baada ya kumsoma na kumsikia Baba wa Taifa Mwal. Nyerere akiuzungumzia udikiteta, sasa nafanya hojaji kupitia dodoso. Chagua moja.
(a) Ni kweli Tanzania tunanyemelewa na udikiteta!

(b) Ni kweli, na sio Tanzania tunanyemelewa na udikiteta, bali udikiteta tayari upo nchini mwetu in reality.

(c) Sii kweli Tanzania hakuna udikiteta wowote bali ni dhana tuu ndani ya mawazo ya waliofilisika kisiasa.

(d)I reserve my comments!.

Namalizia kwa lile swali la msingi, Jee huu Udikiteta unaozungumzwa sana hadi watu wanataka kujenga UKUTA, upo kweli au ni Dhana Tuu?!
Je, udikiteta huu ni jambo la kufikirika tuu au upo for real?.

Paskali.
Rejea.
Kama una muda, pitia hizi baadhi ya nyuzi kuhusu udikiteta.
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...

Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ...

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...

Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...

If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's ...

Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa ...

Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...

Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...

Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...

Ushauri Kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...
 
Wanabodi,

Hii thread ya swali moja tuu, Jee huu Udikiteta unaozungumzwa sana hadi watu wanataka kujenga UKUTA, upo kweli au ni Dhana Tuu?!, jee udikiteta huu ni jambo la kufikirika tuu or upo for Real?.

Tangu baada ya kuibuka kwa dhana ya udikiteta nchini Tanzania, nimeanza kushuhudia baadhi ya watu na taasisi zikianza kutoa matamko na kauli za kujiuma uma kuhusu udikiteta, huku wengine wakitoa kauli za kujikombakomba, wengine wakiongea kwa uoga uoga kuhusu huu udikiteta, huku wengine wakiamini Tanzania tuko kwenye udikiteta, ili madi kila mtu anasema lwake!, hivyo nimeonelea, ili kumaliza ubishi, naomba tumfufue kidogo Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere tumuulize jee kiongozi mwenye udikiteta ni mtu mwenye tabia gani?!.

Msome Mwalimu...
1470768190261-jpg.378704

View attachment 378704

Jee ni kweli Tanzania tunanyemelewa na udikiteta?!.
Soma hizi nyuzi hapa chini kisha ujibu
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ...
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...
Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's ...
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa ...
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...
Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...
Ushauri Kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...

-Ni kweli tunanyemelewa na udikiteta!.
-Ni kweli, na sio tunanyemelewa bali tayari Udikiteta upo nchini mwetu!.
-Sii kweli hakuna udikiteta wowote!.
-I reserve my comments!.
-Sina jibu!.
Namalizia kwa lile swali la msingi, Jee huu Udikiteta unaozungumzwa sana hadi watu wanataka kujenga UKUTA, upo kweli au ni Dhana Tuu?!, jee udikiteta huu ni jambo la kufikirika tuu or upo for Real?.

Pasco.

Pasco are you a coward?! Stand up and be counted sio kutuletea vitendawili na maswali ya multiple choice hapa, tamka usikike wewe unaonaje, tumo kwenye udikteta au la?!
 
Kwa kufupisha nukuu hii ya Mwalimu JK Nyerere, anamaanisha:

1. Kuogopwa ni sifa na ada ya madikteta.

2. Woga ni kukaribisha udikteta.

Kwa maneno mengine, dikteta siku zote hupenda kuogopwa. Na wanaomuogopa hukaribisha udikteta.

Suluhisho: Dikteta asiogopwe ili udikteta usikaribishwe. Katiba iheshimiwe siku zote kama alivoapa kuilinda na kuitetea.
 
Tafadhali sana Pasco, rekebisha hapo, hatujawa na dikteta, tunaye dikteta-uchwara. Pamoja na kwamba wote wanatumia ubabe, kuna tofauti kubwa sana kati ya dikteta na dikteta-uchwara...wa kwanza anatawala kwa kufuata sheria (sheria za kidikteta) na wa pili anatawala kwa kuvunja sheria (katiba).
 
Wanabodi,

Hii thread ya swali moja tuu, Jee huu Udikiteta unaozungumzwa sana hadi watu wanataka kujenga UKUTA, upo kweli au ni Dhana Tuu?!, jee udikiteta huu ni jambo la kufikirika tuu or upo for Real?.

Tangu baada ya kuibuka kwa dhana ya udikiteta nchini Tanzania, nimeanza kushuhudia baadhi ya watu na taasisi zikianza kutoa matamko na kauli za kujiuma uma kuhusu udikiteta, huku wengine wakitoa kauli za kujikombakomba, wengine wakiongea kwa uoga uoga kuhusu huu udikiteta, huku wengine wakiamini Tanzania tuko kwenye udikiteta, ili madi kila mtu anasema lwake!, hivyo nimeonelea, ili kumaliza ubishi, naomba tumfufue kidogo Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere tumuulize jee kiongozi mwenye udikiteta ni mtu mwenye tabia gani?!.

Msome Mwalimu...

Jee ni kweli Tanzania tunanyemelewa na udikiteta?!

Soma hizi nyuzi hapa chini kisha ujibu

Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...

Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ...

Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...

Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...

If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's ...

Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa ...

Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia ...

Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The ...

Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote
https://www.jamiiforums.com/threads...a-mshahara-wa-mtumishi-yeyote.1029679/page-16

Je, Hizi Terorizing za Ziara za Kushtukiza, Hakutajenga Nidhamu ya ...

Ushauri Kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...

-Ni kweli tunanyemelewa na udikiteta!

-Ni kweli, na sio tunanyemelewa bali tayari Udikiteta upo nchini mwetu!

-Sii kweli hakuna udikiteta wowote!

-I reserve my comments!

-Sina jibu!

Namalizia kwa lile swali la msingi, Jee huu Udikiteta unaozungumzwa sana hadi watu wanataka kujenga UKUTA, upo kweli au ni Dhana Tuu?!
Je, udikiteta huu ni jambo la kufikirika tuu au upo for Real?.

Pasco.
Tanzania haina dikteta, ila mtu anaitwa dikteta uchwara/fake, hajafika hadhi ya kuwa dikiteta

Polisi waruhusu maandamano ya amani waachane na mambo ya vurugu

Tutakaoumia wazee, watoto na akina mama

Tafadhari ruhusuni maandamano ya amani

Kwani wakitembea Alafu wakarudi Nyumban nn kitaharibika?
Hahaha......Aiseee.... ...me mwenyewe naogopa.... Maana ukiteleza Tu, unabandikwa neno "uchochezi" alafu unapelekwa kule "kubaya" kwa Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom