Udhibiti kwenye betting

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,507
Reaction score
12,439
Kampuni za kubeti nimuhimu ziongeze nguvu katika kudhibiti na kumsaidia mchezaji ili kuwa na safe betting
Mambo haya ni yamsingi.
1. Kuwepo na uwezo wa mtu kufuta account yake
2. Kuwepo na uwezo wa kuzuia kwa muda account yake
3. Kukumbushwa kutoka katika account mchezaji anapokaa muda mrefu mfano 30 min
4. Kuweza kuweka kiwango cha mwisho cha hasara kwa siku
5. Kulimit kiwango cha kudeposit kwa siku
6. Kuweka kiwango cha juu cha kupoteza ambapo mhusika ataweka ikifikia kiwango hicho asiweze kudeposit tena kwenye account yake.
Nihayo tu kwa sasa wanaobeti wanapaswa kulindwa.
 
Wajenge na sober house kwajili ya wawekezaji
 
Hivi kuna watu wanabeti kuongeza kipato ? Wenzetu huko ulimwengu wa kwanza wanabeti kama starehe, ni kama mashindano flani hivi kuonyeshana umwamba..

Huku kwetu ni ajira sio ? Mungu atusaidie...
Ushauri epuka betting kwa gharama yoyote ile
 
Sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…