Udhamini wa Voda katika PL

andernormans

Member
Apr 13, 2010
64
11
Hivi kweli vilabu vyetu vinanufaika na style hii ya udhamini wa hawa wawekezaji kweli ndugu zangu..??? Menadhani faida wanayoipata Voda in return ni kubwa kuliko hili changa la macho zinalopigwa timu zetu... Ni mawazo yangu tu lakini wadau...
 
kila mtu anajua mpira ndio mchezo unaoongozwa kwa mashabiki hapa nchiniu ajabu miss tanzania walikuwa wanadhamini pesa nyingi kuliko mpira wa miguu
nimeshangaa tff wakizuia afrikan lyion kuvaa jezi za zantel wakati wao hawahusiki na kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na gharama za timu wakati ligi ya south inadhaminiwa na mtn lakini kuna timu zinadhaminiwa na vodacom uingereza liver wanadhaminiwa na standard charter bank wakati mdhamini wa ligi ni bank nyingine makataba wa voda ni wa kunyonya timu wala hauwasaidii
 
Back
Top Bottom