Kabla ya GSM taifa Stars ilikuwaje? Ilipata mafaniko gani?Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje.
Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu.
Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga hawana mchango kwenye timu zao xa Taifa.
Timu zote zinazodhaminiwa na GSM huwa zinacheza na Yanga kukamisha ratiba tu,wachezaji wa yanga hawapti kashkash za maana
Pumba.Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje.
Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu.
Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga hawana mchango kwenye timu zao xa Taifa.
Timu zote zinazodhaminiwa na GSM huwa zinacheza na Yanga kukamisha ratiba tu,wachezaji wa yanga hawapti kashkash za maana
Umeandika mashudu tu hapa! 🚮Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje.
Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu.
Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga hawana mchango kwenye timu zao xa Taifa.
Timu zote zinazodhaminiwa na GSM huwa zinacheza na Yanga kukamisha ratiba tu,wachezaji wa yanga hawapti kashkash za maana
Vipi timu yako ya Simba haina wageni wenye viwango? Mbona hawaitwi au wote ni magarasa?Wameita majina ila kiwango hakuna