Ni story ndefu na Mkono wa Mungu umechangia maana nilizunguka kuanzia Kwa Mkuu wa Wilaya, Diwani wa huko mpk wizara ya Afya, Mwaka wa kwanza nikapata Sponsor kutoka kwa diwani. Second yr na 3rd yr Sponsor kutoka Wizara ya Afya.
Sent from my SM-T285 using
JamiiForums mobile app