Udhaifu wa nani?

Udhaifu wa nani?

Mtafutie dawa ya miti shamba inayoitwa 'Congo dust'. haina madhara kabisa ila utakimbia kitanda. ina prolong mechi balaa. utakojoa mara kibao wakati yeye anatafuta cha kwanza.
Je, ana umri gani? asije akawa kilometa zimeenda sana (umri) akapata shinikizo la damu
 
Kama K ni ya moto unashauriwa ushiriki tendo la ndoa wakati hauna hamu sana.HIYO inasaidia sana hata mbegu za kiume zisiungue maana blood group lako na lake linaweza kuwafanya msipate watoto,mbegu zinaungua.
 
Back
Top Bottom