Udereva awali

Udereva awali

card78

Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
49
Reaction score
48
Nifanyaje kupata leseni ya learner na inachukua muda gani?
 
Nenda tra ukiwa na namba ya nida
Utaapata majibu ya maswali yako
Je umeopata chuo
 
Nenda tra ukiwa na noda
Watakupa tin number alafu watakupa Lerner na test fee jumla 13,000
*Ila vyema ukichukuq Lerner na ya pikipik
 
Back
Top Bottom