Hahaha wamefeli kitu gani?Msitufanye wajinga UDART mlipewa mkataba wa majaribio kwa miaka miwili,hiyo miaka miwili mmefeli mtihani mnaongeza mabasi ya nini? ondokeni hatuwataki,hata mkiongeza mabasi elfu kumi ondokeni
Kuna makosa hapo. Nimesikia Newe akisema ni USD 270,000! Almost Sh milioni 600 kwa basi mojakwamba hata sisi wakulima wa tumbaku tukivunja vibubu tunamilki hayo mabehewa!! dola 260 yaani pungufu ya laki 6 au kuna digits zumeachwa?
donatila kuwaga serious saa nyingine
Ajabu kabisa. Sisi watumiaji wa usafiri huu malalamiko yetu siku zote ni uchache wa mabasi sasa kama wameongeza 70, basi hii ni nafuu sana kwetu. Muhimu tu walete na kadi pia na kuboresha mapungufu madogo yaliyopo au waliyojifunza kwa kipindi walichofanya kazi....
Mkuu hizo 1050 na 800 unazilipaje mbona ni 650!..tunataka kadi sio ukanjanja mbezi posta 1050 badala ya 800 pumbafu
dah kijwete Ni mchawi kabisa. Yani hili dili la udart kapiga hela ndefu Sana Na tutamlipia huo mkopo Hadi vitukuu. Eti imetumika billion 600 hapo jamaa kapiga panga Kama 400. 200 billion ndio imetumika kulipualipua mradKwa shida ya usafiri wa hayo magari ninayoisikia huko, sitaki kuamini lama kuna magari 250 barabarani yanayotoa huduma kwa wananchi. Kama kweli magari hayo yapo barabarani then kuongeza hayo 70 kwa ajili ya kutatua changamoto iliyopo ni upuuzi mwingine ulio zoeleka
dili la mkwere wamepiga hela ndefu sanaHayo magari 210 yanapita wapi? In short huu usafiri wa mwendokasii bado una changamoto nyingi sana.
Kuna ukiritimba wa hali ya juu!
Nashukuru kwa kuni rekebisha. It was just a typo but the content remains.UDART wana magari 140 tu na siyo 250 kama unavyosema na kwa ujio huo wa 70 sasa watakuwa na mabasi 210 kwa ujumla wake.
Duu! Chuki zitakuuua!dah kijwete Ni mchawi kabisa. Yani hili dili la udart kapiga hela ndefu Sana Na tutamlipia huo mkopo Hadi vitukuu. Eti imetumika billion 600 hapo jamaa kapiga panga Kama 400. 200 billion ndio imetumika kulipualipua mrad
650 Feri hadi Kimara, jumlisha 400 Kimara hadi Mbezi inakuwa ngapi na wewe? Daladala ni bei gani ruti hiyo? Siyo 800?Mkuu hizo 1050 na 800 unazilipaje mbona ni 650!..
Sidhani kama yameshatolewa bandarini, kuwa na subiraUrongo. Niko gerezani watu full. Hakuna pa kukanyaga na ni saa 7 ikifika jioni itakuwaje?