Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,584
Ni ngumu kuamini hivi ndicho nimekiona leo... Wanafunzi hutumika kulifilisi hili shirika na leo nimeamini kweli wanaweza kuwa wanapata hasara
Kinachofanyika pale posta mwanafunzi hupewa hela ya kununua tiketi nne ama tano za wanafunzi .. Hapo wakubwa wamekaa pembeni anapopewa huwapelekea zote na kubaki na ya kwake..
Jamaa huongozana na mwanafunzi na kuingia ndani moja kwa moja.. Mchezo huu umekuwa ukifanywa pia vituo mbali kwa kuwatumia wanafunzi...
Mwisho wa siku basi zima unakuta robo tu ndio wamelipa wakubwa inayobakia wamelipa kama wanafunzi....
Nashauri muwe mnaweka inspection kuchunguza pale kituoni cha kuwafanya mnawaacha wanapita kwenye geti.
. Baada ya hapo mnaenda kuwakaguliwa wakiwa washaingia ndani ya kituo angalieni zile tiketi za wakubwa mtakutana na vituko vya ajabuu
Napitatu...