Udalali wahamia mtandaoni(Nyumba na Ardhi sokoni)

businessman

New Member
Jun 7, 2011
2
0
Wadau napenda kuwafahamisha kuhusu mtandao mpya wa udalali uitwao myDalali - Tanzania online Real Estate Agent
Hapa unaweza kukta nyumba zinazopangishwa au kuuzwa,pia ardhi inayouzwa pamoja na maofisi.

Nadhani sasa ni wakti muafaka wa kufanya vitu kwa teknolojia na kuokoa muda wa kuvifanya hivyo vitu kwa kuzunguka kutafuta.kama una nyumba au ardhi na unauza unaweza kutuma email kwa info@mydalali.com au kutembela mtandao na kuwasiliana moja ka moja na wahusika.

Pia kama unatafuta nyumba au ardhi ya kunuanua nadhani pia ni nafasi ya kipekee kufanya hivyo.


myDalali - Tanzania online Real Estate Agent


myDalali
"The broker you can trust"
 
Back
Top Bottom