Wakuu mi nimeona kuwe na degree ya udarali (WA vyumba/nyumba na vitu vingine mbali mbali vinavyouzwa au kukodishwa ) yaani iwekewe syllabus watu wasome.nimetoa Aya maoni kwa sababu nimeon hii kazi inasaidia maisha ya VIJANA wengi mjini hasa wasomi majobless🤣🤣
Au wakuu mnasemaje ata ikiwekwa veta fresh tu
Au wakuu mnasemaje ata ikiwekwa veta fresh tu