Jana nilienda kwenye ofisi moja kwa lengo la kupata leseni ya udereva; nimeshapitia process nyingine zote kama inavyotakiwa, lakini nilipofika pale nilipokelewa na mtu aliyeonekana kuwa mhudumu kwa lengo la kunisaidia, mimi sikujali nikamweleza shida yangu, akachukua document zangu na kuanza kuzishughulikia.
Mara kaingia hapa mara katoka, baadae akaja na kuniambia nitoe hela. Mimi sikujali nikaingia mfukoni nkijua kuwa ile ndio gharama ya malipo ya leseni yangu, Kumbe haikuwa hivyo. Yaani ilikuwa ni hela mbali na malipo ya leseni anayogawana na wale wafanyakazi wa ofisi husika sababu amenipokea na kuingia kwenye zile ofisi badala yangu, mwishowe nkaingia gharama Mara mbili.
Inakera sana.