udahili udom 2019

udahili udom 2019

shasa shamer

New Member
Joined
Feb 21, 2019
Posts
4
Reaction score
0
udom wanasema wamefungua udahili lakini ukiingia kujisajiri unapata account tu, na vingine vyote haviwi active kama kulipia kwa simu n.k sjui kwanini
 
Hata na mimi nimeliona hilo nimewapigia kwa namba za help desk wakaniambia wameruhusu Ku apply kuanzia 24/06/2019 lakini ukiingia inasumbua
 
Au pengine hadi nacte wafungue dirisha la usajiri ndo na wao wataziweka link active kusudi kulipia hiyo buku 10 ya usajiri. Unajua nacte bado hawajafungua dirisha. Em tusubiri.
 
Back
Top Bottom