F freyma Member Joined Jun 12, 2019 Posts 7 Reaction score 0 Jun 12, 2019 #1 Habari zenu,naomba kujuzwa kwa yeyote anae jua kuhusu udahili wa ualimu kwa ngazi ya cheti kwa mwaka wa masomo 2019/2020,coz naona kimya na cjaona taarifa yoyote ihusuyo na udahili ualimu kwa mwaka huu.
Habari zenu,naomba kujuzwa kwa yeyote anae jua kuhusu udahili wa ualimu kwa ngazi ya cheti kwa mwaka wa masomo 2019/2020,coz naona kimya na cjaona taarifa yoyote ihusuyo na udahili ualimu kwa mwaka huu.
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,557 Reaction score 3,628 Jun 13, 2019 #2 Ukuwe mvumilivu tu.
F freyma Member Joined Jun 12, 2019 Posts 7 Reaction score 0 Jun 13, 2019 Thread starter #3 Mmh,,unamaana huenda wakatoa kwa siku zijazo?
T tomentosa Member Joined Apr 14, 2019 Posts 47 Reaction score 22 Jun 13, 2019 #4 Trh 24 dirisha linafunguliwa kwa walio maliza mwaka Jana kurudi nyuma
F freyma Member Joined Jun 12, 2019 Posts 7 Reaction score 0 Jun 13, 2019 Thread starter #5 Tomentosa### asante kwa kunijulisha ila naomba kujua chanzo gani naweza pata Maelezo ya udahili
F freyma Member Joined Jun 12, 2019 Posts 7 Reaction score 0 Jun 13, 2019 Thread starter #6 Coz nacte hata wizara ya ualimu sijabahatika kuona udahili wa ualimu certificate utafanyika tarehe gani so naomba unifahamishe ##Tomentosa
Coz nacte hata wizara ya ualimu sijabahatika kuona udahili wa ualimu certificate utafanyika tarehe gani so naomba unifahamishe ##Tomentosa
Yohana john Member Joined Mar 6, 2019 Posts 6 Reaction score 0 Jun 14, 2019 #7 Naomba kusaidiwa kwa vyuo vya afya ngazi ya Chet na diCheti vyuo ganI vizuri v
Yohana john Member Joined Mar 6, 2019 Posts 6 Reaction score 0 Jun 14, 2019 #8 Yohana john said: Naomba kusaidiwa kwa vyuo vya afya ngazi ya Chet na diCheti vyuo ganI vizuri vya gorvement matokeo Click to expand...
Yohana john said: Naomba kusaidiwa kwa vyuo vya afya ngazi ya Chet na diCheti vyuo ganI vizuri vya gorvement matokeo Click to expand...
Yohana john Member Joined Mar 6, 2019 Posts 6 Reaction score 0 Jun 15, 2019 #9 vyuo vya seriKali unaweza kwenda ku apply pale pale chuoni naomba kusaidiwa
F freyma Member Joined Jun 12, 2019 Posts 7 Reaction score 0 Jun 15, 2019 Thread starter #10 Inawezekana tu unatumia panel ya chuo husika chamsingi endapo tangazo la kozi unayotaka kuomba imefunguliwa
Inawezekana tu unatumia panel ya chuo husika chamsingi endapo tangazo la kozi unayotaka kuomba imefunguliwa
F freyma Member Joined Jun 12, 2019 Posts 7 Reaction score 0 Jun 15, 2019 Thread starter #11 Unakwenda chuo husika Fanya maombi mambo yanakuwa fresh
Yohana john Member Joined Mar 6, 2019 Posts 6 Reaction score 0 Jun 17, 2019 #12 freyma said: Unakwenda chuo husika Fanya maombi mambo yanakuwa fresh Click to expand... Asante sana
F freyma Member Joined Jun 12, 2019 Posts 7 Reaction score 0 Jun 19, 2019 Thread starter #13 tomentosa said: Trh 24 dirisha linafunguliwa kwa walio maliza mwaka Jana kurudi nyuma Click to expand... Tomentosa:unaweza ukanijulisha ni chanzo gani ulocho pata taarifa kuhusu udahili utakuwa tarehe 24 mwezi wa tisa
tomentosa said: Trh 24 dirisha linafunguliwa kwa walio maliza mwaka Jana kurudi nyuma Click to expand... Tomentosa:unaweza ukanijulisha ni chanzo gani ulocho pata taarifa kuhusu udahili utakuwa tarehe 24 mwezi wa tisa