UDA Scandal Files: Part I (Revealing)

Ki ukweli kama tungekuwa tuna sheria kali na kuzisimamia ipasavyo I don't think kama mambo ya kijinga kama haya yangekua yanatokea, I wish to be a Sniper!
Its very intersting seing people wanna be me.....
 
Huo unyanganyi ukitaka laana yake tambua ya kuwa inaanzia mbali sana Invisible

Na hii ndo shida ya Uhuru wa kugeiwa na wakubwa.
 
Last edited by a moderator:
Hii JF ni maktaba tosha.....tumefatilia longtime.....:flypig:
 
Kuna watu hawakawii kusema aliyeiuza UDA kihuni huni ni Nyerere maana wao wana usafi wa malaika...anayedhani amesimama aangalie asianguke, PERIOD!
 
Tumetoka huku kwa wanaojadili vitu kama ni vipya vile. JK alisema za kuambiwa changanya na zako.
 
ccm bila kuomba msamaha kwa udhulumati mlioufanya Tz hii dhambi ya udhulumati huu itawaandama mno na kuwatafuna.
Msione aibu, simameni mbele ya 'madhabahu' na muombe msamaha kwa kukiri ile dhambi na kuijutia.
 
UDART ilianzia huku , kudadadadeki akili za CCM tatizo wamelianzisha wenyewe
 
Nikiona leo hadi Machadema wanaungana na "watu" fulani na kusema walikuwa safi unaweza kuzimia kabisa. Watu wakiamua kurudisha yale madudu mbona tutakimbiana humu.
 
Tulikuwa huku .... soma hili andiko la Halisi
 
Aisee huu ni uzi muhimu kwa kumbukbu
 

Aiseee
 
Sasa hapa Simon Group wanahudhuria kama nani wakati hawajakabidhiwa rasmi na inakuwaje wakati bado kuna utata kuhusu malipo maana hata baadhi ya doccument alizotumia Simon Group ni forged?

Those days......
 

Eti eeeh
 

Hatari sana
 

Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…