Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Hatimaye Fernando Torres aliifungia Chelsea bao dhidi ya Garatasaray ya Uturuki katika mchezo ulioisha kwa sare ya 1-1.Hilo ni goli pekee kwa timu zote nne za Uingereza. Tatu zilizobakia: Man City,Arsenal na Man United zenyewe zilizabwa mabao mawili mawili kwa bila na wapinzani wao. Hadi sasa Wahispania wamerudi nyumbani na mabao 10.
Roy Keane,nahodha wa zamani wa Man U,amenukuliwa akisema kuwa timu za Uingereza zimekosa viwango na si kweli kuwa Ligi ya nchi hiyo ni bora duniani.Ameuita huo ni upuuzi
Roy Keane,nahodha wa zamani wa Man U,amenukuliwa akisema kuwa timu za Uingereza zimekosa viwango na si kweli kuwa Ligi ya nchi hiyo ni bora duniani.Ameuita huo ni upuuzi