Paris kuna watch party inaendelea. PSG leo wamewaruhusu watu kuingia Parc des Princes kushangilia timu yao. Yaani ni vurugu balaa. Ninachoona mimi wataambukizana corona na kipigo juu,na hizi bendera zao bora wakate vipande mapema ili viwasaidie kufuta machozi.