singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
halafu bei ya bidhaa na huduma iongezeke kwa 120%!..kinachotakiwa ni kupunguza na kudhibiti mfumuko wa bei mkuu.Uchumi gani wa IRAN au TZ?
Basi watuongezee mishahara kwa 120%
Uchumi gani wa IRAN au TZ?
Basi watuongezee mishahara kwa 120%
Kwi kwi kwi kwi kwi!! Duhkuimalika kwake kumemgusaje mtz wa hali yacchini???
au ndo yale yale ya vasco kusema uchumi umekua kila mtz anamiliki gari