wined
JF-Expert Member
- Nov 1, 2015
- 2,294
- 2,784
Leo bana ni siku kuu ya krismas ikiwa watanzania au ww mtanzania unaye soma bandiko hili utakuwa na uwezo wa kupata aina ya mlo unaokula leo hii trh 25 Dec. Angalau mara 3 kwa wiki basi hii itakuwa indicator mojawapo ya Tanzania wananchi wake kuufikia uchumi wa kati.