Uchumi wa China wapata pigo

Uchumi wa China wapata pigo

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371
Ukuaji wa uchumi wa china umesinyaa kwa kiwango kinalingana na ukuaji huo miaka takriban 27 iliyopita.
Vita ya kiuchumi kati yake na Marekani ndio yakulaumiwa zaidi.

 
Huyo raisi wa China kabomoa misingi iliyowekwa na baba wa Maadiriko wa nchi hiyo mzee Deng Xiaoping, amabaye aliibadiri China iachane na sera za Kimasikini za mzee Mao na kwa makusudi ya kufanya hivyo akabadiri katiba ya nchi hiyo ili kutawanya tawanya power kwa watu mbalimbali ili asitokee tena mtu anayejifanya mungumtu kama Mao, Kaingia yule Xijinping kabadiri katiba tena na kujipa power kama alizokuwaga nazo Mao, Matokeo yake wanarudi kule kule kwa zamani!.
Yule Xijinping akifeli kwenye uchumi aandae mabomu ya kutosha kupambana na maandamano ya watu bilioni moja mtaani, ataweza?
 
Waafrika wivu wenu ndio umasikini wenu....Mnaisimanga China nchi ya pili kwa uchumi Bora duniani....nyie endeleeni kuwavizia chadema muwatie ndani hamna mlijualo zaidi ya Hilo...
 
Back
Top Bottom