Uchumi wa China waanza kushuka

Uchumi wa China waanza kushuka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
150415041623_china_industry_304x171_xinhua_nocredit.jpg


Wataalam wa masuala ya uchumi wamesema kuwa China inakabiliwa na wimbi la kushuka kwa ukuaji wa uchumi wa taifa hilo la pili duniani katika kasi ya kukua kiuchumi.


Kiwango cha ukuaji wa uchumi wa taifa hilo kwa mwaka cha asilimia saba katika miezi mitatu ya mwanzo,ikilinganishwa na miezi hiyo hiyo mwakajana inaonyesha kushuka kwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa China katika miaka sita mfululizo.


Serikali ya China inadaiwa kupunguza kasi ya ukuaji wa uchumi wa taifa lake ili kuendana na malengo ya muda mrefu ya taifa hilo katika mipango ya kiuchumi.
Lakini wataalam wa uchumi wana wasiwasi kuwa huenda uchumi wa China ukazidi kudorola hadi kufikia kiwango cha chini zaidi.

Uchumi wa China waanza kushuka - BBC Swahili
 
sijui sana kwenye ishu za uchumi lakin nadhan kwa hali ya kawaia tu uchumi kupanda na kushuka ni lazima manake haufanyi kazi peke yako wengine pia wana strive kwa iyo kuna wakati lazima tu utajikuta kama nchi unashuka lkn pia ukiongeza bidii unapanda
 
Lazima hili lingetokea maana indusrty ya Construction ambayo kwa kiwango kikubwa ilikuza ajira kuna wakati majengo hayatajemgwa tena na hivyo kushuka ajira na uwekezaji wakati return zake kwa uchumi ni taratibu
 
Hayo niyakawaida ila hawajamaa wana kitu rasilimari watu kitu kizuri kwao
 
Back
Top Bottom