technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,694
- 58,737
Sasa with those matatizo ndio kwamba uchumi unaangukia?Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu...
Hapana mkuu, ukame sio sababu tukabiliwe na tatizo la maji, tatizo ni watanzania wenyewe ambao wamegeuka kuwa vipofu kwa politicians wao ambao wana total power kufanya chochote kwa mazuzu haya,why hatukujenga dams za kuhifadhi maji ili yatusaidie wakati huu wa ukame?Jitu linaongelea shida ya umeme na maji as if halijii kwamba kuna hali ya Ukame kwa sasa..
Ulitaka haya mabwawa yatoe wapi maji? Mate yako?👇
this a your facts?[emoji32][emoji32][emoji32]Sasa with those matatizo ndio kwamba uchumi unaangukia?
Lini uchumi haukuanguka and so matatizo yaliisha?
Acha upuuzi Jenga hoja yako Kwa namna inayofaa sio kupinga unga vipisi vya ujinga ujinga..
Uchumi ungeanguka makampuni makubwa yangepata faida? Banks zingeoata faida? Si ungesikia bad loans na vilio vya Biashara kufungwa?
Sema serikali ipunguze matumizi yasiyo na msingi badala ya kuunga unga upuuzi hapa [emoji116]
Sawa hapa tunakubali.kuna uzembe wa serikali but sio sawa kulaumu Samia as if hii Nchi ndio anaianzisha yeye wakati watu wamekuwepo Marais 5 kabla ila walikuwa wanapiga blaa blaa na wengine kuweka pesa kwenye vyanzo hatarishi kama maji..Hapana mkuu, ukame sio sababu tukabiliwe na tatizo la maji, tatizo ni watanzania wenyewe ambao wamegeuka kuwa vipofu kwa politicians wao ambao wana total power kufanya chochote kwa mazuzu haya,why hatukujenga dams za kuhifadhi maji ili yatusaidie wakati huu wa ukame?,why nchi yenye 3 big lakes ya fresh water bado tunalalamika kuhusu maji?,water desalination kama tungekuwa na uhakika wa tanesco tungeweza kufanya, we must think outside the box,soma hii wakati jiji la Capetown linakabiliwa na day zero, walifikiria wakavute yale mabonge ya barafu kutoka South pole, yasikumwe na upepo na yanapofika pwani ya SA lisukumwe kwa tankers hadi pale Saddana port, ufikiri huu ndio tunahitaji nchi yetu mkuu
Kwenye Comment zako zote Unajenga hoja vizuri na kwa kutumia data lkn tatizo una ushabiki fln hv ambao unashindwa kuuficha na ndipo unaharibu kila kitu. Umesahau kwamba hao maraisi watano unaosemea wanatoka chama kimoja na kila anaetoka huusika kwenye process ya kuchagua anaeingia. Hizo Ilani zao vp? Zinatekelezwa na ni endelevu?Sawa hapa tunakubali.kuna uzembe wa serikali but sio sawa kulaumu Samia as if hii Nchi ndio anaianzisha yeye wakati watu wamekuwepo Marais 5 kabla ila walikuwa wanapiga blaa blaa na wengine kuweka pesa kwenye vyanzo hatarishi kama maji..
Ndio kwanza Serikali ya Sasa inajitahidi 👇