Uchumba sugu

i dont understand why do people make fussy about mariage,is just a certificate/ring only..... kama umeishi na mtu na uko happy thats enough,nothing is gonna change when you marry him practically he/she the same i mean life kabla ya ndoa ndio life baada ya ndoa ........... na hakuna kujilaumu kama kaenda kwa mwingine kama ni sex wote mlienjoy,sio kwamba kuna gauge inasoma,the more you do ndio inabecome weary..
 
Lakini wengi si tayari wameshawekwa kwanyumba, au bado wanajitegemea au kuwategemea wazee....!!!!

wamewekwa kwa nyumba wapi wanajitegemea kila mtu kivyake na bado yupo na pete
 
tatizo sio ndoaa tu hata kukuweka ndani hakuna unaishi kivyako hata haonyeshi dalili za kukuweka ndani still akikuona na mtu mwingine anafura kisa kakuvalisha pete mtu kama huyo unamsaidiaje
 
Kwanini ukubali mtu akuwekee kifungo kama hajawa tayari?si vyema kumtambulisha mwanaume mapema kabla hajafanya maamuzi ya mwisho, kwa mambo haya si mtu atatambulisha hata 10 na mwisho unakuta unajiharibia CV bure. Tuamke jamani

nakubaliana nawe sioni haja marafiki ndugu na jamaa kumfahamu mtu ambae hana malengo nawe maana akikuacha lol kupata mwingine utasubiri saaaana
 
labda unakuta mchumba ni king'ang'anizi sana
afu hafai kuolewa, hakuna mtu anayependa kuoa majanga..

Kuacha inakuwa ngumu kuoa inakuwa ngumu vile vile..
hadi kupelekea uchumba sugu..

Bora kuvalishana hiyo pete siku ile ya ndoa..
 
Bwana kuna wengne unakuwa na munkari ile mbayb bt when time go unaanza kugundua kwa hapa hisia zilizd bt kiukwel hapa kuna mengmajanga
 
Madhara ya engagement za uchochoroni! Engagement inapaswa kufanyika mara baada ya kulipiwa mahari, tena mbele ya wazazi wote na closest relatives, sebleni kwa babako!
 
nafikiri kuna tatizo hapa kati yetu vijana tunaotaka kuoa na kuolewa, kwa sasa mambo mengi hayafuati zile taratibu na desturi ambazo wazazi wetu walizifuata kupata mwenza, hata kama sio kutafutiwa lakini suala la kuwashirikisha wakubwa zako na ndugu na jamaa ndio kitu cha msingi.

sasa unakuta bwana na bibi wamekutana wakaelewana wanavyojua tunaitwa marafiki kushuhudia engagement (hapo hakuna ndugu hata mmoja), unafikiri itakuwaje?
 
Walioanzaisha utaratibu wa kuvishana pete ya uchumba, pia waliweka limit kuwa isizidi mwaka mmoja tangu kuvishana pete bila kufunga ndoa.
Wasiojua hudandia tuu huu utamaduni bila kujua wala kuelewa masharti yake. matokeo yake mwanamke anadunda na pete ya uchumba hata kwa maiaka mi4.
Huku ni kudandia treni kwa mbele.
 
Bong 2juacho n kwenda zet kariakoo unatumbua macho unaagza bonge ya li pete,unakujatna mijin surpriz

:screwy:😀
 
Madhara ya engagement za uchochoroni! Engagement inapaswa kufanyika mara baada ya kulipiwa mahari, tena mbele ya wazazi wote na closest relatives, sebleni kwa babako!

Si hz wanakwambia me sa hv mkubwa bwana ctak mtu ainglie mamb yangu
 
Katika hali kama hii, wadada waliovishwa pete wanatakiwa kusoma mazingira, kama unaona umevishwa pete, miaka mitatu imepita,wa nne, then akili lazima i-click kichwani na kuaanza kutafakari mustakabali wa mahusiano yenu. Uchumba gani mpaka unafikisha 40? Watoto mtazaa lini?
 
utakuwa umeingizwa choo cha kiume hapo mana hata ndugu hawatambui uchumba
 
Madhara ya engagement za uchochoroni! Engagement inapaswa kufanyika mara baada ya kulipiwa mahari, tena mbele ya wazazi wote na closest relatives, sebleni kwa babako!

niko mbali sana ningekupa tano shoga yangu nami najua hivyo mwanaume yuko tayari anakuja kutoa mahari na siku hiyo no pete inavishwa, nyumbani kwa mwanamke wakiwepo ndugu na jamaa na unasema kabisa matarajio ya ndoa ni lini sio kumuweka mtu na pete miaka minne kisa umetoa mahari. tatizo watu wnaogopa gharama kana kwamba ni lazima kufanya sherehe kubwa.
 
shansarie, ndo maana mimi husema uchuba NA USIZIDI MIEZI KUMI NA MBILI!
 
Last edited by a moderator:
labda unakuta mchumba ni king'ang'anizi sana
afu hafai kuolewa, hakuna mtu anayependa kuoa majanga..

Kuacha inakuwa ngumu kuoa inakuwa ngumu vile vile..
hadi kupelekea uchumba sugu..

Bora kuvalishana hiyo pete siku ile ya ndoa..
 
labda unakuta mchumba ni king'ang'anizi sana
afu hafai kuolewa, hakuna mtu anayependa kuoa majanga..

Kuacha inakuwa ngumu kuoa inakuwa ngumu vile vile..
hadi kupelekea uchumba sugu..

Bora kuvalishana hiyo pete siku ile ya ndoa..

engagement muhimu wangu lakini taratibu lazima zifuatwe pale utakapokuwa tayari kuoa na inafanyika mbele ya wazazi wa mwanamke na ndugu zake na mahari unatoa. cha ajabu vijana siku hizi tunavalishana baa, beach na mashaidi ni marafiki ndo hapo unapokuta mtu anakaa na pete 4yrs. hamna malengo hapo anakuvisha tu kukufurahisha na kupata urahisi wa kukugegeda vizuri maana utamuamini si kashakwambia we ni wangu napete kakupa huna cha kujitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…