Uchokozi kwa vyama

Uchokozi kwa vyama

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Chama gani kinaweza ivusha Tanzania hadi kufikia hapa? 1434103362408.jpg

Ni ukawa au ccm
 
Wewe unawaza mambo makubwa hayo wakati watu bado wanajisaidia kwenye mashimo ya vyoo.
 
Wewe unawaza mambo makubwa hayo wakati watu bado wanajisaidia kwenye mashimo ya vyoo.

Watu wanakuwa maskini siyo sababu hawana ndoto hapana, kwasababu wanakuwa na ndoto ila ya vitu vidogo vidogo na pia wanafanikiwa kuvitimiza na wanabakia masikini milele.

Watanzania hapo ndipo tunapoanguka karne ya 21 mtu mzima unawaza choo, hatari sana hii

Ili ufanikiwe duniani lazima uwe ndoto na mawazo ya vitu vikubwa, tunatakiwa tubadili mfumo wetu wa kufikiri
 
Wewe unawaza mambo makubwa hayo wakati watu bado wanajisaidia kwenye mashimo ya vyoo.

Haya ndio mawazo ya maCCM mliyonayo na ndio maana mmeshindwa kutusogeza mbele kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom