uchinga wa steveni nyerere

uchinga wa steveni nyerere

Joined
Jun 4, 2015
Posts
30
Reaction score
2
jana nimemwona msanii wa maigizo maarufu kama bongo movie
akisema atapita kila nyumba kuwaamashisha watu kuipingia kula CCM
mimi ninawasubiri mtaani
 
Ana haki ya kuongea kwa sababu keshakula chake.
 
Asipite kwangu maana hana lakunibadirisha la ziada kwenye chama chao..
 
Katambulishwa kama kiongozi wa umoja wa wasanii sijui kama kina Vitalis Maembe wanamjua huyu kiongozi wao.....:
 
Na mimi najiandaa kumpa ushaur wa kuachana na ukuwadi
 
Apite Na Mtaani Kwangu, Wamezoea Hawa Wametuona Watanzania Hatuna Akili Kabisa, Yani Hata Hawa Viduduwatu Wanaona Wanaushawishi Wa Kushawishi Watu! Mmetuzoe Sana October Sio Mbali
 
Mbona kampeni za mtaa kwa mtaa zimekatazwa???
Au chama tawala wanaruhusiwa kufanya kampeni za mtaa???
 
Back
Top Bottom