Uchimbaji wa kisima

Uchimbaji wa kisima

bobtony

Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
44
Reaction score
37
Habari zenu wakuu.
Naombeni msaada wenu kwa mwenye ufahamu, gharama halisi za uchimbaji wa kisima kwa ajili ya umwagiliaji, yaani kilimo cha umwagiliaji.
 
Ngoja waje mana na mimi nahitaji kujua kuhusu hili
 
Habari zenu wakuu.
Naombeni msaada wenu kwa mwenye ufahamu, gharama halisi za uchimbaji wa kisima kwa ajili ya umwagiliaji, yaani kilimo cha umwagiliaji.
Gharama inategemeana na mkoa ulipo kwa dar mita moja ni tsh 80000 na mikoani ni tsh 10000 hapo ni kila kitu kuanzia pump ,Pvc,Tank na flashing kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima wasiliana kwa no 0755485807
 
Mkuu Mi nipo Arusha, mna safiri sehemu mbalimbali au mna mawakala kila mkoa? Nauhitaji huo sana.
 
Gharama inategemeana na mkoa ulipo kwa dar mita moja ni tsh 80000 na mikoani ni tsh 10000 hapo ni kila kitu kuanzia pump ,Pvc,Tank na flashing kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima wasiliana kwa no 0755485807
Yaani mikoani ndio bei rahisi hivyo!? ( 10,000 )
 
Kuna maana jf humu alishawahi kunichimbia kisima na bei zake ni nafuu..

CC:Tawa driller
 
Gharama inategemeana na mkoa ulipo kwa dar mita moja ni tsh 80000 na mikoani ni tsh 10000 hapo ni kila kitu kuanzia pump ,Pvc,Tank na flashing kwa mahitaji ya kuchimbiwa kisima wasiliana kwa no 0755485807
Mimi nahitaji kwa ajili ya matumizi ya home kweli tuandikishiane mkataba kabisa ukinipatia nakupa 3,000,000 njoo na shahidi kabisa na yeye awake sahihi yake
 
Mkataba unapewa ,umefanya survey kuwa unahitaji kuchimbiwa mita ngap na uko wap
 
Survey hapana sijafanya, ila kijiografia sehemu ipo kwenye muinuko, aina ya udongo ni loam soil na clay.
 
Kwa walioko Arusha mtafuteni huyu mtu (Dula..0766241113). Mimi kanichimbia kisima huku Moshono na tumepata maji ya kutosha lt 10000 tank linajaa mara moja na hayana chumvi.
Note: Anachimba kwa mkono
Kama mwamba ni mgumu kuna sehemu atalazimika kulipua baruti
Bei mnaelewana but anaanzia 2 million
 
Ba Martha shukrani kwa maelekezo, mi nipo maeneo ya Oljoro, mbele ya VETA, Hivi visima ni muhimu sana kwa matumizi binafsi.
 
Back
Top Bottom