Mambo vp wadau,
Naomba kujua njia mpya ya uchimbaji wa shimo la choo, ambao unatumia makaravati, kwa mwenye ujuzi naomba anielimishe, kwan nackia ni wa bei nafuu na wa haraka.
Kwa mwenye ujuzi naomba ufahamu.
Mwenye akili hizi namuombeas sana kwa mungu, Hapa hakuna feki yyt. Mkuu turahisishie hii mambo[/QUOT
siku hizi mkuu hakuna kuchimba mashimo,tena hii system unaweka kwa siku 2 mbili tu.