Duh! Hakika Deni la Taifa ni uchi wa Mhuni, ahhgg!!? sorry wa Mbuni, ngoja nipande hapa katika ukuta nisikilize, sorry tena nichungulie uchi wa Mbuzi maana hili Beberu matata kweli.

Mshana unapaswa kuwa makinikia (sorry makini) na hizo nanii za mbuzi unazozisema. 'Sisi' wengine hatujaribiwi tena ni 'stone, very 'real stone'. Naendelea kuendesha lori langu la abiria.